YOUNG DEE Ft BEN POL – TZK (Tabia za Kibongo) Lyrics
YOUNG DEE Ft BEN POL – TZK (Tabia za Kibongo) Lyrics. Basi mpaka pamba anatokea
Kwenda kwa waganga ameshazoea
Nyumba za kupanga zimejaa umbea
Na ukishikwa unachambwa usije kuongea
Wengine kawa washamba ila ndo wana hela
Wengine kawa baba ila ndo masela
Wengine wanapanga wazame kwa Mandela